| Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Neema Temba, ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo alipomtembelea mwishoni mwa wiki. Kampuni ya SBL imekuwa ni mdau mkubwa wa maendeleo katika mkoa wa Mwanza kwa kuchangia pato la mkoa na kusaidia miradi mbalimbali ya maji mkoani humo. |
No comments:
Post a Comment