Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Thursday, 8 February 2024

COLLABO YA KLABU BINGWA NA BENKI BINGWA


Benki bingwa na timu bingwa nchini zinakuja na jambo la kimataifa.

Jambo la kibingwa linaenda kutangazwa asubuhi hii kutokea Makao Makuu ya Benki ya NMB.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Azam TV, Mitandao ya Kijamii na App ya Yanga, na Vyombo vingine vya habari kuanzia saa nne kamili asubuhi leo.

#NMBKaribuYako 
#TimuYaWananchi

No comments:

Post a Comment