SHOW YA KIBABE NDANI YA YOUTUBE #DSTVTZ

Show ya kibabe ndani ya jiji la YouTube #dstvsupasokashow Wataalamu wa kabumbu wapo varandani kuchambua matukio yote yakibabe ndani ya soka.
Captain @salim_kikeke anaongoza jahazi akiwa na @jemedarisaid @georgeambangile @edgarkibwana @maestro_ibrahim pamoja na mnyamwezi @geoff_lea
Usikose kufuatilia kipindi hiki kipya ndani ya youtube chaneli #dstvtz leo jioni.
#unakosaje
#supasoka
#rahamfululunadstv
No comments:
Post a Comment