| Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza, James Alphaxard, akizungumza na wateja wa vinywaji ya kampuni hiyo ya bia kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho. Kulia ni mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza, Melina Francis, ambapo alikabidhiwa mfano wa hundi ya Shilingi laki tano (5). |
No comments:
Post a Comment