| Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifundishwa jinsi ya kutumia platform ya instant School ambayo inawawezesha wanafunzi kupata vitabu vya masomo mbali mbali, katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za Vodacom mwishoni mwa wiki. |
No comments:
Post a Comment