Afisa Biashara Mkuu wa Tigo, Tarik Boudiaf (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi bendera ya Taifa baadhi ya washindi wa promosheni ya Soka la Afrika watakaokwenda Misri kushuhudia michuano ya mataifa ya Afrika. Kati kati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Yusuf Singo na kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tigo Woinde Shisael.
|
No comments:
Post a Comment