| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa (kulia), akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa kilichotokewa kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika kufanikisha Kongamano la nne la Kitaifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika mjini Dodoma hivi karibuni. Wa pili kulia ni Waziri Ofisi ya Raia, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng'i Issa. |
No comments:
Post a Comment