Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 5 October 2018

SUMBAWANGA KUONJA VIBE KAMA LOTE LA TIGO FIESTA 2018

Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Bernard Makali (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika siku ya Ijumaa mkoani humo, Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini, Henry Kinabo (kushoto) na Msanii wa Bongo Fleva Nandy.
Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini, Henry Kinabo akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika siku ya Ijumaa uwanja wa Nelson Mandela wilaya Sumbawanga. Wengine kwenye picha kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Bernard Makali, Msanii Msanii wa Bongo Fleva Nandy na Mwisho kulia ni Katibu Tawala Msaidizi Idara ya Utawala, Winnie Kijazi na kushoto Msanii, Nikki wa Pili.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Bernard Makali (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Tigo na wasanii watakaopanda leo kwenye jukwaa la Tigo Fiesta uwanja wa Nelson Mandela.

No comments:

Post a Comment