![]() |
Baadhi ya wateja waliopatiwa Vyeti na Zawadi kwenye maadhimisho ya Wiki ya huduma kwa mteja. |
Benki ya Azania imeelekeza nguvu zake katika kuhakikisha kila mteja anapata huduma bora kulingana na mahitaji yake.
![]() |
Baadhi ya wateja wakipata maelezo kutoka kwa watoa huduma. |
![]() |
Katika kuonyesha ushirikiano na wateja Watoa huduma wa benki ya Azania waliweza kulishana keki na wateja. |
Benki ya Azania inaendelea kuwahimiza wananchi wote kujiunga na benki yao ili waweze kupata huduma bora na zenye ufanisi wa hali ya Juu.
No comments:
Post a Comment