Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 28 August 2018

VODACOM YAZINDUA NJIA YA KIPEKEE YA KUHAMISHA DATA KWA KUTUMIA DUKA LA KIDIJITALI

Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt. George Mulamula (wa pili kulia) akiongea na wafanyakazi wa Vodacom wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Lugata na Meneja wa maduka ya Rejareja ya Vodacom Tanzania, Happiness Macha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) Mhandisi Dkt. George Mulamula (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu (Techzone) na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt. George Mulamula (katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia (kulia) wakimsikiliza mtaalamu wa Data, Hendrick Rupia wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt. George Mulamula (wa kwanza kushoto) akikata keki wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu uliofanyika leo katika makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia (wa pili kushoto) na wafanyakazi wa kampuni hiyo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator Mhandisi Dkt. George Mulamula (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc. Rosalynn Mworia wakigonga glasi ya shampeni wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo Makao Makuu ya kampuni hiyo, Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment