Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Ultimate Finance Advert

Advertise Here

Advertise Here

Wednesday, 1 August 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI HATI ZA VIWANJA VYA DODOMA KWA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JULAI 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Afrika kusini nchini Mhe. Thamsangqa Dennis Mseleku hati hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Unigereza nchini Mhe. Sarah Cooke hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018. 
Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kupatiwa bila malipo na Rais Dkt John Magufuli hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wadogo wa nchi mbalimbali baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018.
Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment