Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 27 August 2018

BENKI YA CBA TANZANIA YAANDAA WARSHA KWAAJILI YA KUWAFUNDA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKATI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, Dk. Gift Shoko (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Ultimate Finance, Elius Mtunguja (katikati) baada ya kufungua warsha iliyoandaliwa na Benki hiyo kwaajili ya kuwafunda wafanyabiashara wadogo na wakati jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Masoko na Mawasiliano CBA. 
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, Dk. Gift Shoko (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Sheria za Biashara (BRELA), Rehema Kitambi kabla ya kufungua warsha iliyoandaliwa na Benki hiyo kwaajili ya kuwafunda wafanyabiashara wadogo na wakati jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na Wakati CBA, Joyce Ndyetabura. 
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, Dk. Gift Shoko akifungua warsha.
Wafanyabiashara wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CBA Tanzania, Dk. Gift Shoko.
Wafanyakazi wa Benki ya CBA Tanzania, na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment