Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 4 May 2018

NGUZO YA KWANZA DARAJA LA TRENI YA UMEME (SGR) LINALOJENGWA KUANZIA STESHENI POSTA HADI ILALA SHAURI MOYO, DAR ES SALAAM YASIMIKWA



Huu ndiyo muonekano wa nguzo za daraja la treni (SGR) lenye urefu wa kilomita 2.9 ambalao litaanzia Stesheni ya Posta jijini Dar Es Salaam hadi Ilala Shauri Moyo. Kazi kubwa ya daraja hili ni kupunguza muingiliano wa magari na treni hiyo hasa kutokana na kasi yake ya kukimbia kilomita 160 kwa saa, pamoja na mfumo wake wa umeme.

No comments:

Post a Comment