Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 14 September 2017

TIGO BIASHARA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUZINDUA BIDHAA MPYA NA HUDUMA ZA KIPEKEE KUONGEZA UFANISI, UKUAJI NA FAIDA KWA BIASHARA

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Simon Karikari akielezea jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa huduma mpya za Tigo Business zinazowasadia wafanyabiasahra kuongeza ufanisi wa kazi zao. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari kuzindua huduma mpya za Tigo Business zinazowasaidia wafanyabiashara kurahisisha mawasiliano na kuongeza ufanisi wa biashara zao. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Simon Karikari.
Meneja wa Biashara wa Tigo, David Sekwao akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari kuzindua huduma mpya za Tigo Business zinazowasaidia wafanyabiashara kurahisisha mawasiliano na kuongeza ufanisi wa biashara zao. Kulia ni Mkuu wa Mauzo wa Tigo, Kadambara Maita.

No comments:

Post a Comment