Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 15 December 2016

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA, MHE. DKT. DAU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur mapema mwezi huu.

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Mfalme na Mkuu wa Nchi hiyo, Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur mapema mwezi huu.

Kikosi cha askari kikitoa saluti wakati nyimbo za Taifa za Tanzania na Malayasia zikipigwa mara baada ya Balozi wa Tanzania nchini humo Mhe. Dkt Ramadhani Dau kuwasili katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Mfalme na Mkuu wa nchi hiyo aliyemaliza muda wake Abdul Halim Mu'adzam Shah mapema mwezi huu.

No comments:

Post a Comment