Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 24 October 2016

KUNDI LA MAKAMPUNI YA S & E GROUP LTD. NA S & E PHOTOS & VIDEO SERVICES LTD ZAZINDULIWA RASMI

Mchungaji Kiongozi wa K.K.K.T. Mbezi Beach hivi karibuni aliiweka wakfu na kuifungua rasmi Kundi la Makampuni ya S & E GROUP LTD pamoja na Kampuni dada ya S & E PHOTOS & VIDEO SERVICES LTD. (aka LB STUDIOS & VIDEO PRODUCTION). 

Mwenyekiti wa Makampuni ya S & E GROUP LTD. na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Elihuruma Ngowi akitoa maelezo kwa Mchungaji Allen Mbiso wakati wa ufunguzi wa Kundi la Makampuni ya S & E GROUP LTD. pamoja na Kampuni ya S & E PHOTOS & VIDEO SERVICES LTD hivi karibuni.
Mchungaji Kiongozi wa K.K.K.T. Usharika wa Mbezi Beach, Mch. Allen A. Mbiso (kulia) akifanya maombi na hatimaye kufungua rasmi ofisi za Kundi la Makampuni ya S & E GROUP LTD. pamoja na Kampuni ya S & E PHOTOS & VIDEO SERVICES LTD hivi karibuni.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya S & E GROUP LTD. na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya S & E PHOTOS & VIDEO SERVICES LTD Bw. Elihuruma Ngowi.

No comments:

Post a Comment