Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 23 August 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA STATOIL YA NORWAY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 22, 2016

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Statoil ya Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon’go, Mchinga Mkoani Lindi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Meneja Biashara wa Kampuni ya Statoil ya Norway Oivind Holm Karlsen (watatu) kutoka kushoto mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Kampuni hiyo, Bw. Oystein Michelsen. 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo wakiawa pamoja na viongozi wa ngazi ya juu wa Shirika la mafuta Tanzania (TPDC) pamoja na viongozi wa kampuni ya Mafuta ya Statoil Ikulu jijini Dar es salaam.

Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment