Ofisa Maendeleo ya Biashara NHC, Clara Lumbanga, akimuangalia mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakati alipokuwa akisaini kitabu cha wageni.
|
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemiah Kyando Mchechu akifurahia jambo na baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo. |
Ofisa Maendeleo ya Biashara NHC, Clara Lumbanga (kulia), akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC. |
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule, akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Full Shangwe blog Bw. John Bukuku wakati alipotembelea katika banda la NHC. |
No comments:
Post a Comment