Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea banda la CRDB na kushiriki kutoa huduma kwa wateja waliofika katika banda hilo. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari. |
Banda la CRDB linavyoonekana. |
Banda la Benki ya CRDB. |
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Robertius Twijuke (katikati) akimuhudumia mteja wa benki hiyo kwenye maonyesho ya Sabasaba. |
Wateja wa Benki ya CRDB wakipata maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo. |
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Gerald Mhalanyambu (kushoto), akimsikiliza mteja wa benki hiyo. |
Wateja wa benki ya CRDB, wakipata maelezo juu ya huduma za benki hiyo. |
Wateja wa Benki ya CRDB wakiwa katika foleni ya kutoa na kuweka fedha katika tawi linalotembea lililopo katika maonyesho ya Sabasaba. |
Wateja wa Benki ya CRDB wakipata maelezo katika banda la benki ya CRDB. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa VETA wakati alipotembelea maonyesho ya Biashara ya 40 ya Kimataifa ya Sabasaba. Michuzi Blog |
No comments:
Post a Comment