![]() |
| Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC, Dk. Kassim Hussein akihutubia katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake wa Zanzibar iliyofanyika visiwani humo. |
| Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC visiwani Zanzibar wakishiriki futari iliyoandaliwa na benki yao mjini humo juzi. |
![]() |
| Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu akizungumza katika hafla hiyo. |
![]() |
| Baadhi ya wateja wa NBC na wageni wengine waalikwa wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo. |
![]() |
| Baadhi ya wateja wa Benki ya NBC visiwani Zanzibar na wageni wengine waalikwa wakishiriki futari iliyoandaliwa na benki hiyo mjini humo juzi. |







No comments:
Post a Comment