| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina hiyo. |
| Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Baraza Konisaga akizungumza wakati wa semina hiyo. |
| Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akizungumza katika semina hiyo. |
![]() |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Hawa Ghasia akifungua semina ya viongozi wa halmashauri za kanda ya ziwa iliyofanyika jijini Mwanza. |
![]() |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa semina ya viongozi wa halmashauri ya za kanda ya ziwa iliyofanyika jijini Mwanza. |
| Sehemu ya viongozi na watumishi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakifuatilia mada katika semina hiyo. |
| Mkurugenzi wa Idara inayohusika na huduma za fedha kwa Serikali, Philip Alfred akielezea namna Benki ya CRDB ilivyojipanga katika kuhakikisha inatoa huduma bora kwa halmashauri mbalimbali nchini. |
| Sehemu ya viongozi na watumishi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakifuatilia mada katika semina hiyo. |
| Mwalimu wa Ujasiriamali na Uhamasishaji, James Mwang’amba akitoa mada ya uhamasishaji. |


No comments:
Post a Comment