Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Wednesday, 11 March 2015

BENKI YA FNB TANZANIA YAFANYA SEMINA NA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Sylvester Selepe, Treasurer wa Benki ya FNB Tanzania, akizungumza katika Semina na baadhi ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Nema Ramkhelawan, RMB Economic Analyst, akizungumza katika Semina na baadhi ya wafanyabiashara (hawapo pichani), iliyoandaliwa na benki ya FNB Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
Nema Ramkhelawan, RMB Economy Analyst, akizungumza katika Semina na baadhi ya wafanyabiashara (hawapo pichani), iliyoandaliwa na benki ya FNB Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
Chris Coker, Corporate Banking Trainer, akiwahutubia washikriki wa Semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya FNB Tanzania jijini Dar es Salaam jana. (Picha na FNB Tanzania)

No comments:

Post a Comment