Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 30 September 2014

JACK MUGENDI ZOKA ATEULIWA KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI CANADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.

Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.


IMETOLEWA NA KATIBU MKUU,

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA,
Dar es Salaam,
Septemba 30, 2014.

1 comment:

  1. Jirani Mwenyezi Mungu akutangulie katika majukumu hayo mapya....!!

    ReplyDelete