Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday 12 July 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU MKINGA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la Nyumba (National Housing Corporation) huko Wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga jana.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation), Bi. Susan Omari (kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mashine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform ambazo zitagawanywa kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Tanga ili kuwawezesha kuanzisha vikundi vya ujenzi vya vijana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa. Mashine hizo zilitolewa wakati wa uzinduzi wa nyumba za bei nafuu Wilayani Mkinga. (Picha na Freddy Maro).

Kwa picha zaidi, bofya hapa.

No comments:

Post a Comment