Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Tuesday, 29 July 2014

BENKI YA EXIM YAWAANDALIA FUTARI WATEJA WAKE ZANZIBAR

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Nassor Mazrui (kulia) akizungumza wakati wa Iftari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wateja wake hivi karibuni. Wengine kulia kwake ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wateja walioalikwa katika tukio hilo.

Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki ya Exim Tanzania wakijumuika pamoja akatika Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo Visiwani Zanzibar kwa ajili ya wateja wake.

Source: Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment