Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Wednesday, 12 February 2020

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAENEZA HUDUMA YA KUJISOMEA KIDIJITALI SHULE YA MSINGI DIAMOND JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa mradi wa Instant Schools ulio chini ya Vodacom Tanzania Foundation, Christine Lucas akiongea na wana kamati na wazazi wa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya msingi Diamond jijini Dar es Salaam, kuhusiana na Program ya Soma Kidijitali ambapo mwanafunzi anapata masomo mbalimbali kupitia simu ya kiganjani. Elimu hiyo ilitolewa kwa wazazi wakati wa kikao kilichofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.



AFRICA CEO FORUM; 9-10 MARCH 2020, ABIDJAN, IVORY COAST


BENKI YA NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA, MADAWATI YA SH. MILIONI 35 KANDA YA MAGHARIBI

Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Magesse (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Abel Busalama mashuka. Katikati ni Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Dkt. John Pima akishuhudia. 
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Abel Busalama (mwenye suti ya udhurungi) na baadhi ya viongozi wa Wilaya wakikagua vifaa vilivyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya hospitali ya Kaliua.
Katika kuhakikisha inasaidia na kutatua baadhi ya changamoto zinazoikumba Sekta ya Afya na Elimu Mkoani Shinyanga, Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa tiba, madawati, mbao, mabati, vitanda na Magodoro vyenye jumla ya Sh. milioni 35.

Vifaa hivyo vilipokelewa na kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga - Zainab Telack kwa zahanati ya Old Shinyanga iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga. Zahanati hiyo iliyopokea; vitanda vitano vya wagonjwa, magodoro matano na mashuka 62 pamoja na Zahanati ya Usule iliyopo halmashauri ya Shinyanga iliyopokea vitanda vinne, magodoro manne na mashuka 57, huku wakikabidhi pia madawati 100 kwa shule ya msingi Mwenge.

UONGOZI WA BENKI YA CRDB WAKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI TANZANIA

Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing Spandet (kushoto) akizungumza na uongozi wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Ally Laay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia), Mkurugeni wa Hazina na Mitaji ya Masoko, Alex Ngusaru (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Tully Esther Mwambapa (kulia), uliofika ofisini kwake kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu Benki hiyo, ambapo Serikali ya Denmark kupitia Shirika lake la uwekezaji la DANIDA ni wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akimkabidhi kablasha, Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing Spandet wakati wa kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mkikutano wa Ubalozi wa Denmark, jijini Dar es salaam, hivi karibuni. 

Tuesday, 11 February 2020

BENKI YA CRDB YAANDAA KONGAMANO LA WADAU WA PAMBA SIMIYU

BENKI YA CRDB YAANDAA KONGAMANO LA WADAU WA PAMBA SHINYANGA

VODACOM PREDICTS PROFIT SLUMP ON SIM-CARD WOES

Vodacom Tanzania has warned on profit dwindling after one-third of its customers failed to register their sim-cards using the biometric system.

Vodacom, the leading telecom in the country said in a trading update for last year's quarter four that some 5.0 million out of 15.6 customers were not registered.

Continue Reading >>>

BARCLAYS OFFICIALLY SWITCHES NAME TO ABSA BANK TANZANIA

Deputy Governor of Bank of Tanzania, Dr. Bernard Kibesse, (second left), and Absa Bank Tanzania Limited Board Chairman, Simon Mponji (right), cut a tape to officially signal the launch of Absa Bank Tanzania, formerly known as Barclays Bank Tanzania. Others from left are Managing Director of Business Registration and Licensing Agency (BRELA), Godfrey Nyaisa, Managing Director of Absa Bank Tanzania, Abdi Mohamed, and Executive Director of Tanzania Bankers Association (TBA), Tuse Joune.
Absa Bank Tanzania Limited Board Chairman, Simon Mponji, receives a certificate authenticating name change to Absa Bank Tanzania (formerly Barclays Bank Tanzania Limited) from Managing Director of Business Registration and Licensing Agency (BRELA), Godfrey Nyaisa (second left), yesterday during the launching ceremony at the bank’s head office in Dar es Salaam. Witnessing the event are Managing Director of Absa Tanzania Limited, Abdi Mohamed, Deputy Governor of Bank of Tanzania Dr. Bernard Kibesse (second right).
Deputy Governor of Bank of Tanzania, Dr. Bernard Kibesse, speaks during the launch of Absa Bank Tanzania Limited, formerly known as Barclays Bank Tanzania. Others from left are Absa Bank Tanzania Limited Board Chairman, Simon Mponji, Managing Director of Absa Bank Tanzania, Abdi Mohamed, and the Bank’s Head of Legal and Compliance, Irene Sengati.
Absa Bank Tanzania Limited Managing Director, Abdi Mohamed, speaks during the official launch of the bank which was formerly known as Barclays Bank Tanzania.
Absa Bank Tanzania Limited staff take a walk to beacon the official launch of the bank, which was formerly known as Barclays Bank Tanzania.
Absa Bank Tanzania Limited, a subsidiary of Absa Group Limited, yesterday received the licence to operate and trade under its new name from the Bank of Tanzania, switching from its former name of Barclays Bank Tanzania Limited, a makeover that marks the start of a new era for the bank’s operations and signals the realization of its ambition of becoming an independent African Bank.

“Today we begin a new chapter as Absa Bank Tanzania Limited, adopting out parent company’s name and brand while retaining our indelible commitment to Tanzania and its people. Our new brand is a commitment to Tanzania and to the wider continent: Absa is a truly African bank, with global scalability and reach, Said Abdi Mohamed, Managing Director of Absa Tanzania Limited.

The company, which has been operating in Tanzania close to 19 years and boasts a network of 15 branches and 62 ATMs strategically located countrywide 21 being in branches and 49 offsite, recapped its devotion to the country’s growth and economic progress under the Absa brand.

Monday, 10 February 2020

RELIABLE TELECOM SERVICES WILL NARROW THE GAP BETWEEN URBAN AND RURAL AREAS

Since 2016, the Tanzanian Government has embarked upon an ambitious programme to help transform the country into a middle-income economy by 2025.

One of the key goals of the Development Vision is to create a competitive and sustainable economy with shared benefits.

While working towards making a strong and dynamic economy is – of course – important, it is equally important that every effort is made to ensure that the benefits of the country’s development are shared by all Tanzanians.

To that end, the Tanzanian development organisation, World Vision Tanzania, has developed an initiative designed to narrow the development gap between urban and rural dwellers in the country.

BENKI YA NMB YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ZA MITAA KULETA MAENDELEO

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza wakati wa ushiriki wa kifungua kinywa cha pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Benki ya NMB uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Dar es Salaam. Kutoka kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri, Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam, Badru Iddi, Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali wa NMB, Vicky Bishubo na Katibu Tawala wa Manispaa ya Ilala, Charagwa Selemani.
Picha ya pamoja.
Benki ya NMB inayoongoza kwa faida kubwa nchini, imeahidi kutumia bidhaa na huduma zake kuzisaidia serikali za mitaa kufikia malengo yake ya maendeleo na kuchangia ukuaji wa uchumi.

Ikiwa tayari imefikisha huduma za kibenki kwa zaidi ya asilimia 99 ya wilaya zote nchini kupitia mtandao wa matawi 224, zaidi ya ATM 800 na NMB Wakala, inayoifanya NMB iweze kutoa huduma za kibenki kwa serikali za mitaa ziweze kutekeleza na kusukuma mbele agenda ya maendeleo.

Ikiwa na umiliki wa soko wa asilimia 22 kwenye utoaji wa mikopo na amana za wateja kunaifanya NMB kuwa Benki inayoongoza nchini kwa kupata faida kubwa.

INVITATION TO SELL LAND TO WATUMISHI HOUSING COMPANY IN DAR ES SALAAM FOR CONSTRUCTION OF HOUSING PROJECTS

TIPS ON HOW TO MANAGE YOUR TIME BETTER THIS YEAR

REQUEST FOR PROPOSAL FOR PROVISION OF VARIOUS SERVICES TO CRDB BANK HEAD OFFICE, ZONAL OFFICES AND BRANCHES ACROSS THE COUNTRY

REQUEST FOR PROPOSAL FOR SUPPLY, INSTALLATION AND COMMISSIONING OF A MODERN KITCHEN FACILITY FOR CRDB BANK PLC NEW HEADQUARTERS BUILDING

EMPLOYMENT OPPORTUNITY AT NATIONAL BANK OF COMMERCE - HEAD OF CORPORATE & INVESTMENT BANKING

Thursday, 6 February 2020

TIA KITU. PATA VITUUZ... NA DSTV

Tukiwa tunakaribia kabisa siku ya Valentine @dstvtanzania wananyunyiza mvua ya upendo kupitia ofa ya Tia Kitu Pata Vituuz....

Mteja wa kifurushi cha Family 29,000, ukilipia kifurushi chako utapandishwa kwenda kifurushi cha Compact bila malipo ya ziada ambapo utafurahia mechi za #EPL

**Vigezo na Masharti Kuzingatiwa**

#DStvStepUp

BENKI YA NMB KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Huduma za Serikali wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo walipokutana katika mkutano wa utoaji taarifa ya mafanikio ya TAMISEMI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akimkabidhi taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya wizara hiyo Mkuu wa Idara ya Huduma za Serikali wa NMB, Vicky Bishubo mara baada ya kuwasilishwa hivi karibuni, jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Mwita Waitara.
Benki ya NMB imesema itahakikisha inaendelea na kuunga mkono juhudi za maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano ili kuifikia malengo yaliyokusudiwa ya kuwahudumia wananchi.

Kauli hiyo ilitolewa Mkuu wa idara ya huduma za Serikali wa benki ya NMB, Vicky Bishubo wakati alipokuwa akiwasilisha taarifa ya benki hiyo kwenye mkutano wa utoaji taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) uliofanyika Jijini Dodoma.

“Benki ya NMB ni mali ya wananchi na Serikali hivyo tunafurahi tunapoona kila upande unaendelea kuiunga mkono katika mafanikio yaliyopatikana hivyo tunawaomba mwendelee kutuunga mkono kwa kufungua akaunti na kuweka fedha kwetu”alisema.

Wednesday, 5 February 2020

TIPS ON HOW TO CREATE A COLLEGE FUND FOR YOUR KIDS

By Kelvin Mkwawa, Seasoned Banker.

Many parents are hoping to send their children to university (college) someday and they want to do it without accruing too much debt. It's no secret that college tuition and textbook inflation is just out of control so sending your kid(s) to college is expensive nowadays and it is not getting any cheaper. For you parents, the younger your child is, the more expensive college is likely going to be going forward so it is vital to have a plan in place to achieve the goal of sending your child to college.

As a parent myself, I believe one of the best things I can do for my kids is to send them to college as I understand the benefit of a university education not only in terms of personal growth but also in career opportunities and financial stability. In addition, a college degree remains a major achievement in the modern economy yet many parents aren’t preparing for it – just below 40% of parents Worldwide are actively saving for their child’s education according to several studies. 

In this article, I will share the tips on how to create a college fund for your kids. It is true that some parents want their kids to attend a specific college based on prestige or family tradition ties but for the majority of parents, it is impossible to know what kind of school your kid(s) will attend. Therefore, it is crucial to start saving early, even if it is only a small amount – the sooner you start saving, the more money you will have for your child’s education.

There are so many different choices when it comes to savings plans for education: college fund plans, stock market investment accounts, Government securities (Treasury bills, and Treasury Bonds) and savings accounts. Unfortunately, in our banking industry, currently, we don’t have any college funds accounts that are specific for saving for your child’s education (this topic is for another day). Saving early will not help unless you have a clear strategy to achieve your college fund goal.

With so many different choices out there, it is easy to be overwhelmed but the most important is to look at the pros and cons of each savings plan to ensure the path towards your target is on course. Ideally, it is advised that the best time to start saving for your child’s education is when your child is born but some are going the extra mile by starting saving for their children before they are born. With compound interest and regular deposits made every month at least, the funds will have an opportunity to grow over a period of time hence helps you to meet other financial obligations.

Tuesday, 4 February 2020

JOB VACANCY AT NMB BANK PLC - SENIOR SPECIALIST; LEARNING & TALENT DEVELOPMENT

Reporting Line: Head, HR Center of Expertise 
Job Purpose
Partner with HRBPs to support the analysis, scoping of development needs, identify solutions, monitor and evaluate different learning solutions put in place.
Main Responsibilities
  • Prepare consolidated HQ/Zonal training plans, training needs assessment and training budgets.
  • Support stakeholders by providing various training programs options and use of the NMB e-learning portal
  • Analyze HQ/Zonal training needs as submitted by HRBPs and guide them in accordance to NMB training policy and procedures
  • Evaluate each training program conducted and submit a detailed report on the successes, challenges and recommendations from the training  
  • Prepare and submit timely monthly, quarterly and annual training reports and prepare proposals for the purpose of documenting activities and  providing references
  • Work with L&TD HR admin to facilitate training logistics including movement of learners, trainers and training materials for zonal & HQ training programmes.
  • Monitor and report on utilization of the training budget and provide recommendations according to the training budget allocated by management  
  • Partner with HRBPs to support the analysis and scoping of the Learning and development needs for all staff working in the branch network & HQ 

JOB VACANCY AT NMB BANK PLC - HEAD; CHANNELS SERVICES & SYSTEMS SUPPORT

Job Purpose
Driving technology alternative channels roadmap and strategy for all digital self-services, agency network, cards settlement, remittance and payments systems to ensure high and sustainable channels systems performance, SLAs and integration of channels systems with internal and third parties systems.
Main Responsibilities
  • Responsible for managing NMB second level support teams for mobile banking, cards, e-commerce, payments and remittance, treasury and settlement systems.
  • Accountable for the SLA and performance of the alternatives channels services, remittance and payments systems.
  • Collaborate with retail and corporate teams on creating strategy, solutions and provide technical knowhow on addressing different challenges across channels services to drive channels usage and improve customer Omni-channels experience.
  • Responsible for timely delivery of different alternative channels, remittance and payments systems projects, ensuring adherence to Agile, ITIL, Security and Change management frameworks set by the Technology department.
  • Custodian of multichannel systems like ATMs & POS, Agency Banking, Mobile banking, Card Switch, NMB App, Internet Banking, Cash Collections, Bill Payments systems and third parties channels system integrations i.e. TRA, GEPG, Billers 
  • Custodian of payments and remittance systems like SWIFT, EFT, MTOs, TISS, EAPS TACH, Treasury, Reuters, Custody systems 
  • Responsible for ensuring that all outbound and inbound electronic payments and settlements comply with local and international regulatory frameworks such as NPS 2015 ACT, FTCA 
  • Design and implement continuous improvement plans, systems upgrades, systems capacity and integrations to cater for business growth, security and conformance of regulatory requirements.
  • Ensure Business continuity at all times for all systems under his/her custody by facilitating disaster recovery tests as per DR and BCM policies.
  • Provide leadership through inspiring, innovating and developing the digital channels and payments teams and by encouraging new solutions, support for emerging technologies and ideas.

JOB VACANCY AT NMB PLC - SENIOR RELATIONSHIP MANAGER; PRIVATE BANKING

Job Purpose
To maintain good relationships with customers and provide expertise to grow the Liabilities (Deposits) and Assets portfolio to enable the Bank to acquire and retain potential customers through a sound business strategy and sales activities while driving high level of productivity and cost management.
Main Responsibilities
  • Portfolio growth (Assets, Liabilities, Investment products and Insurance)
  • Customer retention, maximizing benefit from customers through cross-selling relevant NMB products in the segment
  • Minimization of exposures to and impact of risks while adhering to KYC, AML in managing the portfolio
  • Quality of service in the portfolio and management of customer expectations through effective queries, complaint and correspondence handling in a timely manner
  • Guide other bank employees (Private Banking Relationship Managers/Officers and Tellers) on how to handle Private banking clients
  • Ensure an effective call program is maintained on all allocated relationships and prospects.
  • Keep abreast of the rapid pace of product/service development, suggest possible best solutions for improving offerings to Private banking clients
  • Organize/Suggest quarterly events for customers within the region for more effective engagement and relationship enhancement
  • Overseeing Relationship Management of assigned clients and running Private banking centers with Branch Manager
  • Conduct initial screening interview with prospective clients and maintain familiarity with customers relevant documents
  • Be conversant with policies and procedures pertaining to all bank products and services and be able to adapt to change based on technological advancements and customer sophistication

JOB VACANCY AT NMB BANK PLC - SPECIALIST; CARD DISPUTES

Job Purpose
To make sure Card Business disputes are timely and properly managed to avoid financial losses and reputational risk; Keep up-to-date with information regarding card-fraud activity trends in the market and advise on means to prevent and ensure compliance to reporting fraud cases to International Card Associations
 Main Responsibilities
  • Ensure daily retrieval for Chargebacks and Copy Request from Visa and MasterCard System and make the necessary follow up to branches to provide requested sales draft copies and ATM Journal rolls.
  • Ensure outgoing chargebacks are processed on time and with correct response code. 
  • Report on all cases which are due for arbitration for both incoming and outgoing disputes and advise management on the best practice to avoid financial and reputational risk.
  • Quarterly review of Visa operating regulation and MasterCard by-laws and rules and dispute procedure to ensure the bank is in compliance and complete the required Compliance Attestations.
  • Liaise with Visa and MasterCard to obtain guidance on how to perform accurate, timely fraud activity reporting and proper documentation required to support a Chargeback or second presentment.
  • Liaise with ICT to ensure that fraud control and prevention measures are implemented in the card management system and report for same activities are easily accessible to Card Business analyst.
  • Follow up and understand fraud patterns and develop appropriate mitigation strategies.
  • Create fraud awareness to all stakeholders through training sessions and communicate to branches and Call Centre on existence of card fraud activity and the best way to protect customers from fraudulent activities.
  • To perform Card Business risk review on all Card Business activities and processes to ensure that proper control and mitigation to the identified risk are put in place.

CHINESE STOCKS CRASH 9% FOR WORST LOSS IN YEARS

  • Chinese stocks plunged on Monday as Wuhan coronavirus continues to spread.
  • The CSI 300 index fell as much as 9.1%, its worst opening in almost 13 years.
  • Chinese markets had been closed since January 23 due to the Lunar New Year holiday.
  • "These are massive moves but entirely as expected," one analyst said.
China's benchmark stock index plunged as much as 9.1% on Monday - its worst opening in almost 13 years - as investors took cover from the fast-spreading Wuhan coronavirus.

The CSI 300, made up of 300 stocks listed on the Shanghai or Shenzhen exchanges, closed nearly 8% lower on its first day of trading since January 23-after an extended Lunar New Year holiday. The decline marked its steepest one-day drop since August 2015, the Financial Times reported.

Nearly 3,500 stocks slumped by the daily limit of 10%, Bloomberg estimated. Their losses wiped away $400 billion in combined market capitalization, Reuters reported. The biggest fallers included consumer, transportation, and financial stocks such as Tsingtao Brewery, China Eastern Airlines, and Citic Securities.

CORONAVIRUS: AFRICA PUTS CHINA IN QUARANTINE

Royal Air Maroc, RwandAir, Kenya Airways ... Six out of eight African airlines with flights to China have suspended flights to and from China.

However, Ethiopian Airlines and Air Algérie have opted to continue operating their China routes.

There is now one suspected case of coronavirus in Ethiopia, according to the Ethiopian Public Health Institute.

In a statement issued on 25 January, the International Air Transport Association (IATA) indicated that it “is closely monitoring developments related to the Coronavirus outbreak in Wuhan (China) and is actively engaged with the World Health Organization (WHO) Secretariat, ICAO and the US Centers for Disease Control.”

The coronavirus outbreak that has emerged in China is becoming a broader threat: according to the Chinese authorities, the number of infected individuals has increased to more than 11,700, while over 250 deaths have been reported.

Following this news, on Thursday, 30 January, WHO declared the outbreak “a Public Health Emergency of International Concern.”

As preventive measures are being stepped up in several African countries, the continent’s airlines are one-by-one announcing the suspension of their flights to and from China.

Monday, 3 February 2020

BENKI YA NMB YAWASAIDIA WAKANDARASI WAZAWA

Afisa Mkuu wa Wateja Bianfsi, Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati, Filbert Mponzi (kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Elius Mwakalinga kwenye hafla hiyo.
Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Biashara ya Serikali, Aziz Chacha akiongea kwenye Hafla iliyowakutanisha Benki ya NMB na Wakandarasi wa Kanda ya Ziwa jijini Mwanza. Pembeni yake ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati, Filbert Mponzi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Mhandisi Elius Mwakalinga akitoa maelezo ya Serikali kwenye mdahalo kati ya Benki ya NMB na Wakandarasi kutoka Kanda ya Ziwa.
Benki ya NMB mwaka jana imetoa zaidi ya dhamana 500 kwa wakandarasi wazawa ili kuwawezesha kugharamia miradi mbalimbali ya ujenzi nchini. Mkakati huo ulifikiwa kufuatia kilio cha muda mrefu cha wakandarasi kushindwa kushiriki katika ujenzi wa miradi mbalimbali kutokana na ukata wa fedha na ushindani toka kwa makampuni ya nje.

Akiongea wakati wa kongamano lililohudhuriwa na zaidi ya wanadarasi 300 kutoka Kanda ya Ziwa mwishoni mwa wiki, Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati wa Benki ya NMB, Filibert Mponzi alisema zoezi hilo litakua endelevu.

Alisema mbali na kusaidia kuwanyanyua wakandarasi wadogo kimtaji, pia Benki hiyo imeitikia wito wa Rais John Magufuli alioutoa juu ya taasisi mbalimbali za kibenki kuwakopesha wakandarasi kwa masharti nafuu. “Kama benki ya biashara na kama mbia wa serikali tumeshiriki kikamilifu kuwasaidia wakandarasi kimtaji na pia kuitikia wito wa Rais Magufuli kuhakikisha kada hiyo inashiriki kikamilifu katika ujenzi wa uchumi,” alisema Mponzi.

BENKI YA NMB YAPIGA JEKI SHULE NA ZAHANATI SINGIDA

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Nsolo Mlozi (wa pili toka kulia) akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi ikiwemo bati vyenye thamani ya Sh. Milioni 20/= kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Paskasi Mlagiri, kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kwa shule ya msingi Misuna na Msange, pia zahanati za vijiji vya Mwachambia na Mwakichenche, wilayani Singida.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi, akiviswa shuka maarufu kama ‘mgolole’ kutoka kwa mwanamke wa jamii ya Kinyaturu mkazi wa kijiji cha Msange, ikiwa ni ishara ya upendo kwa benki hiyo kwa mchango wake kwenye sekta ya elimu wilayani Singida.
Kero ya kusoma kwenye mazingira yasio mazuri kwa wanafunzi zaidi ya 350, wakiwemo wasichana 169 wa kitongoji cha Misuna, kijiji cha Ngimu wilayani Singida, imepatiwa ufumbuzi baada ya jamii kwa kushirikiana na benki ya NMB kujenga miundombinu ya vyumba vya madarasa.

Wananchi hao wameshirikiana na Benki ya NMB kumaliza kero hiyo, kutokana na watoto wao kupata usumbufu wa kutembea mwendo mrefu kila siku kwenda shule na kurudi nyumbani huku mchana kutwa wakilazimika kushinda na njaa.

Wakipokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka Benki ya NMB, baadhi ya wananchi walisema kuwa, kila siku watoto wao walilazimika kutembea mwendo wa kilomita tano kwenda shuleni, na zingine tano kurudi nyumbani, hali iliyozorotesha taaluma yao.

MASTERY IN DIRECTORSHIP COURSE


SERENGETI BREWERIES LIMITED NA UBALOZI WA UINGEREZA WAANDAA MAADHIMISHO YA MIAKA 200 YA JOHNNIE WALKER WHISKY

Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cook, akizungumza katika hafla maalumu ya kuonja pombe kali aina ya Whisky iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nafasi wateja na wadau wengine nafasi ya kuzifahamu na kuzionja pombe kali zinazosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla ilifanyika kwenye makazi ya Balozi huyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti, akizungumza katika hafla maalum ya 'Whisky Tasting' iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwemo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla ilifanyika kwenye makazi ya Balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na Balozi wa Uingereza, Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), akichukua whisky aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Balozi wa Johnnie Walker Afrika Mashariki, Marcus Kwikiriza, akizungumza wakati wa hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika Makazi ya Balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

TELECOM COMPANIES AND THE FUTURE OF TANZANIA’S DIGITAL LANDSCAPE

By Benedict Nyoni, Dar es Salaam, Institute of Technology

Tanzania’s digital landscape has transformed during the past decade. Today, Tanzania has a thriving digital sector with over 11 million people having access to mobile internet. The convergence of increasing mobile internet penetration and innovative technologies now represents one of the best ways of helping to drive Tanzania’s social development forward in the future.

To take one example, in recent years, the country’s telecom providers have worked closely with the Government to develop new ways to make it easier for parents to register their children’s birth. This is positive news for families as birth registration can help parents access a range of services including medical care, immunisation and social protection security programmes. As the child grows older, birth registration acts as the keystone for accessing national identity cards, getting a job or voting in the country’s elections.

One household name – Tigo Tanzania – did just this. The company partnered with the Government to design an innovative and mobile-based registration app, which allows parents to quickly and easily register their children’s birth. This convenient application helps provide Tanzania’s next generation with a way of enjoying all the benefits of our society.

Saturday, 1 February 2020

SBL YAFIKISHA UJUMBE WA USALAMA BARABARANI KWA MAELFU YA WAKAZI WA IRINGA

Kamanda wa polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa SP. Yusuf Kamote (pichani kulia) akimvisha Kiakisi mwanga Mwenyekiti wa Umoja wa Bodaboda Iringa, Juma Gamba wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usitumie kilevi na kuendesha chombo cha moto iliyoratibiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Stendi ya Daladala Manispaa ya Iringa. Pichani kushoto ni Meneja mahusiano wa SBL, Neema Temba.
Kamanda wa polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa SP. Yusuf Kamote (pichani kulia) akiongea na madereva wa vyombo vya moto kwenye kampeni ya usitumie kilevi na kuendesha chombo cha moto iliyoratibiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited SBL mjini Iringa.
Iringa, Februari 1 2020 – Maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa na maeneo ya jirani, ikiwa ni pamoja na watumiaji barabara, madereva wa magari binafsi na ya usafiri wa umma wamepatiwa elimu ya usalama barabarani kupitia kampeni inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa kushirikia na Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani.

Ikijulikana kama ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’, kampeni hii inalenga kuiunga mkono Serikali katika kuhamasisha usalama barabarani ili kuepusha ajali zinazosababishwa na matumizi ya vilezi na kuendesha vyombo vya moto, alisema Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa SBL , John Wanyancha.

“Kampeni hii inawalenga madereva wa mabasi ya abiria, waendesha bodaboda, waenda kwa miguu, wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu pamoja na wateja katika mabaa,” alisema Wanyancha

WATAWEZA? SAMATTA GAME ZOTE NDANI YA DSTV TU!!!

@Samagoal77 anatinga rasmi kwenye Ligi ya Kibabe ya English Premier League Jumamosi hii dhidi ya Bournemouth, Na kama unavyofahamu English Premier League inapatikana kupitia SuperSport ndani ya DStv pekee, Je wenzetu mtoto wa Mbagala mtamuangalizia wapi?

Je umekwisha lipia kifurushi chako cha DStv?

Kumbuka kupitia Ofa yetu ya Tia Kitu Pata Vituuz, ukilipa kifurushi chako cha Family sh.29,000 tunakupatia kifurushi Compact bila gharama ya ziada ambapo utaweza kuangalia English Premier League mechi zote!


*Vigezo na masharti kuzingatiwa


#KilaMtuMachoKodo
#TiaKituPataVituuz