Kitomari Banking & Finance Blog leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kufanikisha miaka mitano ya uongozi wa mafanikio katika nafasi hiyo.
Ruth Zaipuna amekuwa nguzo muhimu katika sekta ya benki nchini, kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii, na kuongeza thamani ya benki sokoni.
Kila la heri katika kuanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.
No comments:
Post a Comment