Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Thursday, 31 July 2025

SBL YAZINDUA MPANGO WA KILIMO BIASHARA KUONGEZA MAVUNO KWA WAKULIMA

Mkurugenzi wa Masoko ya Kilimo na Usalama wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi, wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha wakulima wadogo zaidi ya 4,000 kote nchini, hasa wale wanaolima mtama, shayiri, na mahindi. Uzinduzi wa mradi huo wa SBL, uliowakutanisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na sekta binafsi, ulifanyika mnamo tarehe 31 Julai 2025, jijini Dar es Salaam.

Dar es Salaam, Tanzania – 31 Julai 2025:
Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua mpango mpya wa kilimo biashara ujulikanao kama “Shamba ni Mali”, unaolenga kukabiliana na changamoto kuu zinazowakabili wakulima wa Tanzania, ikiwemo matumizi ya mbolea na viuatilifu bandia, mabadiliko ya hali ya hewa, ukosefu wa ujuzi wa kisasa wa kilimo na teknolojia duni.

Mpango huu ni sehemu ya dhamira ya SBL ya kuboresha maisha ya maelfu ya wakulima wa ndani wanaoiuzia kampuni hiyo mazao ya mahindi, mtama na shayiri, ambayo hutumika katika uzalishaji wa bia.

“Mpango wa ‘Shamba ni Mali’ unalenga kuwanufaisha moja kwa moja zaidi ya wakulima wadogo 4,000 kote nchini, hususan wanaolima mtama, shayiri na mahindi. Kupitia mpango huu, wakulima watapata soko la uhakika, mbegu bora za shayiri na mtama, na mafunzo kuhusu kilimo bora na rafiki kwa mazingira,” alisema Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Obinna Anyalebechi.

KUONGEZA THAMANI NA KUJENGA BIASHARA ENDELEVU

Obinna aliongeza kuwa mpango huu umeundwa kuongeza thamani ya biashara kupitia ununuzi endelevu wa malighafi, kuhakikisha upatikanaji wa muda mrefu, kuimarisha uthabiti wa biashara na kuboresha maisha ya wakulima wa ndani.

DTB AND ARISE DONATE COMPUTERS AND TREES TO SONGORO MNYONGE SECONDARY SCHOOL

From left to right: Mrs. Rodina Kimario (Headmistress), Ms. Inaya Bhasin (ARISE), and Mr. Sylvester Bahati (DTB) officially unveil the new computer lab – equipped with DTB-donated desktops.

Dar es Salaam, Tanzania — 25 July 2025
In a powerful demonstration of corporate social responsibility, Diamond Trust Bank Tanzania Plc (DTB), in collaboration with ARISE, has donated 20 desktop computers and 135 tree seedlings to Songoro Mnyonge Secondary School in Salasala, Dar es Salaam. The donation is part of the “Adopt a Tree” programme and reflects a broader commitment to digital education, environmental sustainability, and community upliftment.

The official handover ceremony, held at the school premises, brought together representatives from DTB, ARISE, the school administration, and the surrounding community.

Bridging the Digital Divide Through E-Waste Reuse

The refurbished desktop computers, which were previously used by DTB, will now serve to establish a fully equipped computer lab at the school. This move will significantly improve access to digital learning tools, boosting ICT literacy among students.

“This initiative is simple yet powerful — a smart way to reduce and recycle electronic waste while creating a positive educational impact,” said a representative from ARISE.

The program exemplifies how thoughtful reuse of resources can bridge digital gaps in public education while promoting responsible consumption, aligned with SDG 12 of the UN Sustainable Development Goals.

Greening Schools, Empowering Youth

In addition to promoting digital inclusion, 135 tree seedlings were also donated and will be planted within the school compound, fostering a greener and more eco-conscious learning environment.

CRDB BANK POSTS RECORD 346BN/- PROFIT IN H1 2025, SHARES SURGE TO HISTORIC HIGH

CRDB Group CEO and Managing Director, Abdulmajid Nsekela.

DAR ES SALAAM – CRDB Bank Group has reported a stellar 26% jump in profit after tax to 346 billion shillings for the first half of 2025, marking its strongest mid-year performance since inception. The results reflect a combination of Tanzania’s improving macroeconomic stability, regulatory reforms, and sustained investment in digital infrastructure.

Celebrating 30 years of operations, CRDB remains the largest bank in the country, continuing to shape financial inclusion and private sector development.

Strategic Growth Driven by Digital and Lending

Group Chairperson Prof. Neema Mori credited the bank’s long-term vision and stakeholder trust:

“This performance shows the strength of our strategy and the trust our customers and partners place in us. Our role as the Board is to keep CRDB anchored in integrity, sustainability and sound risk management.”

The growth aligns with CRDB’s Medium-Term Strategy (2023–2027), now in its third year of execution.

CRDB Group CEO and Managing Director Abdulmajid Nsekela affirmed the bank's growth momentum:

TADB TRIPLES BALANCE SHEET TO 1.13TRI/- IN FOUR YEARS, SIGNALING AGRICULTURE'S RISING POWER

TADB Managing Director, Frank Nyabundege.

DAR ES SALAAM – The Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) has recorded a remarkable milestone by tripling its balance sheet within four years—from 362 billion shillings in 2021 to 1.13 trillion shillings as of June 2025. This growth cements TADB’s emergence as a key player in Tanzania’s agricultural finance landscape.

TADB Managing Director Frank Nyabundege attributed the success to the government’s strategic push to make agriculture a central pillar of the economy. He emphasized that this growth is more than a financial statistic:

“This kind of growth is not just about numbers… it means more farmers financed, more crops harvested, and a stronger economy driven by inclusive agricultural investment,” Nyabundege said.

Empowering Agriculture Through Finance

Established in 2015, TADB’s mandate has always been to provide affordable credit to the agricultural sector. Since inception, the bank has disbursed over 1.1 trillion shillings in loans, with annual lending climbing from an average of 21 billion five years ago to 106 billion shillings by 2025.

This expansion is powered by TADB’s Development Finance Window and the Agricultural Credit Guarantee Scheme, which enables collaboration with commercial banks to increase access to finance for farmers, cooperatives, and agribusinesses.

“Agriculture was once labelled too risky. Today, we are helping to de-risk the sector,” said Nyabundege.

Tangible Impact on the Ground

The financing has had real impact:

  • Rice productivity in supported regions has surged from 10 bags per acre to 35–40 bags.
  • In the cashew sector, output has grown from 52,000 metric tonnes to over 55,000 metric tonnes, bolstered by joint efforts with the government’s input subsidy program.

Wednesday, 30 July 2025

TANZANIA BANS FOREIGNERS FROM 15 SMALL BUSINESS SECTORS TO PROTECT LOCAL ENTREPRENEURS

Minister for Industry and Trade, Dr. Selemani Jafo.

DAR ES SALAAM, TANZANIA – July 30, 2025: The Government of Tanzania has officially banned non-citizens from engaging in 15 types of small-scale business activities. This move follows increasing public concern over the growing presence of foreign traders, particularly in urban markets like Kariakoo.

The ban, aimed at safeguarding opportunities for local entrepreneurs and preserving fair competition, was formalised through Government Notice No. 487A, published on July 28, 2025, under the Business Licensing Act (Cap 101).

“This Order may be cited as the Business Licensing (Prohibition of Business Activities for Non-Citizens) Order, 2025. In this Order, unless the context otherwise requires, ‘non-citizen’ has the meaning ascribed to it under the Tanzania Citizenship Act.

The business activities specified in the Schedule to this Order shall not be carried out by non-citizens,” the order states.

List of Prohibited Activities for Foreigners

Under the new Order, non-citizens are now prohibited from engaging in the following business activities:

  1. General wholesale and retail trade (excluding supermarkets and specialty stores)
  2. Mobile money transfer services
  3. Mobile phone and electronics repair
  4. Salon services (excluding those targeting the tourism sector)
  5. Home and office cleaning
  6. Small-scale mining
  7. Domestic parcel and postal delivery services
  8. Tour guiding
  9. Operating radio and TV stations
  10. Running museums and curio shops
  11. Brokerage in business and real estate
  12. Clearing and forwarding services
  13. Crop buying at farms
  14. Operating gambling machines outside licensed casinos
  15. Owning or running micro and small industries

Penalties for Violators

The Order imposes strict penalties on violators:

  • Non-citizens found engaging in the banned sectors face a minimum fine of TZS 10 millionup to six months’ imprisonment, and revocation of visa or residence permit.
  • Tanzanians who aid or facilitate foreigners in these activities may be fined TZS 5 million or face up to three months’ imprisonment.

WADAU WAONYA KUHUSU ONGEZEKO LA MATUMIZI YA POMBE HARAMU NCHINI TANZANIA

Meneja wa Mradi wa Euromonitor, Benjamin Rideout, akizungumza katika mkutano wa wadau uliofanyika tarehe 30 Julai 2025 jijini Dar es Salaam, kujadili changamoto ya pombe haramu ambayo inakadiriwa kuchangia asilimia 55 ya matumizi ya pombe nchini. Mkutano huo uliandaliwa na CTI na kuhudhuriwa na wadau kutoka sekta binafsi na serikali.

Pichani kutoka kushoto: Prof. Lilian Kahale (UDSM), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule, na Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries, Dkt. Obinna Anyalebechi.

DAR ES SALAAM, TANZANIA – 30 JULAI 2025 – Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye matumizi makubwa ya pombe haramu barani Afrika, jambo ambalo linaelezwa kuwa tishio kubwa kwa afya ya umma, huku pia likiathiri mapato ya serikali na ukuaji wa sekta rasmi ya biashara ya vinywaji.

Taarifa hii imebainishwa leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya pombe, uliowakutanisha wawakilishi kutoka Serikalini, sekta binafsi na taasisi za udhibiti, kujadili njia bora za kukabiliana na changamoto hiyo. Mkutano huo ulifanyika chini ya kaulimbiu: "Kuungana Kupambana na Pombe Haramu Nchini Tanzania."

Kwa mujibu wa takwimu zilizojadiliwa katika mkutano huo, asilimia 55 ya pombe inayotumika nchini inakadiriwa kuwa haramu – ikiwemo pombe ya kienyeji isiyosajiliwa, ya magendo, na ile inayouzwa bila kulipa kodi au kukaguliwa kwa viwango vya ubora.

“Pombe haramu bado ni suala tete nchini Tanzania. Inahatarisha maisha ya watu kutokana na kutotimiza viwango vya usalama wa kiafya, huku pia ikipunguza mapato ya serikali na kushusha ushindani kwa biashara halali,” alisema Hussein Sufian, Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI).

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA BAMMATA KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI ZANZIBAR

ZANZIBAR – Benki ya NMB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono sekta ya michezo nchini kwa kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo kwa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michezo ya majeshi inayotarajiwa kuanza tarehe 6 Septemba mwaka huu visiwani Zanzibar.

Msaada huo umekabidhiwa na Meneja Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar, Naima Said Shaame, kwa Mwenyekiti wa BAMMATA, Brigedia Jenerali Saidi Hamis Saidi, katika hafla fupi iliyofanyika Zanzibar.

Walioshuhudia tukio hilo ni pamoja na Meneja Mwandamizi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Ally Ngingite, pamoja na maafisa wa jeshi Kanali Robert Mbuba na Luteni Kanali Said Shamhuna.

“Msaada huu ni sehemu ya mchango wetu wa kuunga mkono sekta ya michezo na afya, na kuimarisha mshikamano miongoni mwa askari wetu kupitia michezo,” ilieleza Benki ya NMB kupitia uongozi wake.

CRDB YAELIMISHA WAJASIRIAMALI WA MTANDAONI KUHUSU FURSA ZA KIDIJITALI NA MIKOPO

DAR ES SALAAM – Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo katika ulimwengu wa kidijitali na namna ya kushirikiana na taasisi hiyo kubwa ya kifedha kujikwamua kiuchumi.

Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki katika Semina ya Instaprenyua, jukwaa ambalo liliwakutanisha wajasiriamali wa mtandaoni na waelimishaji waliotoa mada mbalimbali kuhusu kukuza biashara na kuongeza kipato kupitia majukwaa ya kidijitali.

Akizungumza katika hafla hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Bw. Charangwe Makwiro, alisema kuwa Benki ya CRDB inaunga mkono jitihada za serikali katika kujenga mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wawekezaji.

“Maarifa ya kufanya biashara ni nyenzo muhimu ya mafanikio kuliko hata mtaji wa fedha. Mafunzo haya kutoka CRDB yanatoa mwanga mpya kwa wajasiriamali. Nawapongeza kwa kazi nzuri ya kuwawezesha vijana na wanawake,” alisema Makwiro.

TEKNOLOJIA YAIBUA FURSA MPYA ZA BIASHARA

Bw. Makwiro alieleza kuwa maendeleo ya teknolojia yamebadilisha namna biashara inavyoendeshwa. Kwa sasa mfanyabiashara anaweza kumhudumia mteja bila kukutana naye, jambo linaloongeza ufanisi.

Alitaja kuwa asilimia 93 ya Watanzania wanafikiwa na huduma za intaneti, huku laini milioni 54.1 kati ya milioni 92.7 zilizosajiliwa zikitumia huduma hiyo, kwa mujibu wa takwimu za TCRA za Juni 2025.

“Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa biashara kwa kuboresha miundombinu ya mawasiliano, kuhakikisha upatikanaji wa vifaa vya kisasa, na kuimarisha usalama wa taarifa mtandaoni,” aliongeza.

NSEKELA: INSTAPRENYUA NI NGUZO YA BIASHARA YA KISASA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela, alisema semina hiyo ni jukwaa mahsusi la kujadili teknolojia mpya, mbinu bunifu za masoko, ulinzi wa kidijitali, pamoja na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa wafanyabiashara wa mtandaoni.

“Katika karne hii ya 21, biashara si suala la mahali tena, bali uwezo wa kumfikia mteja popote alipo. Hii ndiyo maana tumeipa Instaprenyua kipaumbele tangu mwaka 2022,” alisema Nsekela.

CRDB BANK FOUNDATION YAPONGEZWA KWA KUENDELEZA UJASIRIAMALI KUPITIA PROGRAMU YA IMBEJU

DAR ES SALAAM – Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ameipongeza CRDB Bank Foundation kwa mchango wake mkubwa katika kukuza ujasiriamali na elimu ya fedha kwa vijana kupitia Programu ya Imbeju.

Akizungumza mwishoni mwa wiki wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la National Enterprise Development Chamber (NEDC), Waziri Kikwete alisifu juhudi za CRDB Bank Foundation katika kuwawezesha vijana na kuwajumuisha kwenye mifumo rasmi ya kifedha.

“Taasisi ya CRDB Bank Foundation mnafanya kazi kubwa sana katika kuwainua vijana kupitia Programu yenu ya Imbeju. Mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha mnayoitoa yanatoa fursa adhimu kwa jamii. Kujitoa kwenu kuilea NEDC nalo ni jambo muhimu litakalosaidia kuwajumuisha vijana wengi kwenye huduma rasmi za fedha,” alisema Waziri Kikwete.

CRDB Bank Foundation ndiyo mdhamini wa uzinduzi huo wa NEDC, taasisi inayolenga kuwaunganisha vijana wajasiriamali, wawekezaji, na taasisi mbalimbali ili kujenga mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji nchini.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Bi. Tully Esther Mwambapa, taasisi hiyo inafanya kazi kwa ukaribu na wadau kutoka sekta zote ili kuboresha maisha ya wananchi hasa kutoka jamii zilizotengwa kiuchumi na kifedha.

“Tunakusudia kuchochea ukuaji wa biashara changa kupitia mafunzo ya elimu ya fedha, ujasiriamali, usimamizi wa biashara, na mbinu za upatikanaji wa mitaji. Lengo letu ni kuwawezesha vijana na wanawake kuwa sehemu ya mfumo rasmi wa kifedha bila vizingiti,” alisema Tully.

Tuesday, 29 July 2025

UNDERSTANDING ESG: WHY ENVIRONMENTAL, SOCIAL, AND GOVERNANCE STANDARDS MATTER IN MODERN BUSINESS

In today’s global economy, businesses are increasingly being evaluated not just by their financial performance, but also by how responsibly they operate. This is where ESG – Environmental, Social, and Governance – comes into play.

What is ESG?

ESG refers to a set of non-financial factors that help investors, regulators, and the public assess a company's sustainabilityethical impact, and long-term value. It's a framework that goes beyond profit margins to examine how businesses contribute to – or harm – the world around them.

Let’s break it down:

1. Environmental (E):

This pillar focuses on how a company interacts with the environment. It includes:

  • Carbon emissions and climate change policies
  • Use of renewable energy
  • Waste management and pollution control
  • Conservation of natural resources

In Tanzania, businesses in sectors like energy, mining, agriculture, and manufacturing are under growing pressure to operate in environmentally sustainable ways, especially as climate concerns intensify.

2. Social (S):

The social component examines how a company treats people—employees, customers, suppliers, and communities. It looks at:

  • Employee rights and working conditions
  • Diversity, equity, and inclusion
  • Consumer protection and data privacy
  • Community engagement and social investment

Banks, insurance firms, and telcos in Tanzania, for instance, are now expected to support inclusive financial services, invest in local communities, and champion social causes.

3. Governance (G):

Governance refers to the internal rules, practices, and structures that guide a company. Key aspects include:

  • Board composition and diversity
  • Ethical business practices
  • Transparency and accountability
  • Anti-corruption and compliance

With the increasing scrutiny from regulators like the Bank of Tanzania (BoT) and the Capital Markets and Securities Authority (CMSA), strong governance is no longer optional—it's a necessity.


Why ESG Matters to Tanzanian Companies and Investors

Globally, ESG-compliant companies are attracting more investment, enjoying better reputations, and managing risk more effectively. In Tanzania, financial institutions like CRDB BankNMB Bank, and Absa Bank Tanzania have started incorporating ESG practices into their strategies—driven by investor demand, regulatory trends, and societal expectations.

CRDB BANK AND NMB BANK LEADERS EMBRACE COLLABORATION BEYOND COMPETITION

Tanzania’s top two banking institutions reaffirm that collaboration can drive national progress, even in a competitive market.

In a significant move that underscores the importance of partnership in Tanzania’s banking sector, senior executives from CRDB Bank and NMB Bank recently came together for a high-level meeting focused on unity, leadership, and national development.

Hosted by CRDB Bank Group CEO and Managing Director Abdulmajid Nsekela, the meeting welcomed Ruth Zaipuna, Managing Director of NMB Bank, and Filbert Mponzi, Chief Retail Banking at NMB Bank.


LEADERSHIP THAT GOES BEYOND COMPETITION

While CRDB and NMB are widely recognized as rivals in the financial industry, the meeting offered a refreshing narrative: that true leadership transcends market competition.

“Although CRDB Bank and NMB Bank are prominent competitors within Tanzania's financial sector, our meeting underscored the fact that leadership transcends mere competition,” said Nsekela in a public LinkedIn post. “It is founded on mutual respect, shared principles, and a collective dedication to fostering sustainable development within our nation.”


SHARED RESPONSIBILITY FOR A STRONGER FINANCIAL SECTOR

The banking leaders used the opportunity to reflect on their collective responsibility to contribute to a healthy, inclusive, and future-ready financial ecosystem.

Nsekela praised Zaipuna’s insightful leadership and emphasized how moments like these reflect the industry's maturity. “As leaders in the banking industry, we recognize the crucial role we play in cultivating a robust and inclusive financial environment,” he noted.

The discussion reaffirmed the belief that healthy competition does not hinder progress—it can, in fact, support it when guided by national interests.


A MESSAGE TO THE INDUSTRY

The symbolic meeting sends a strong message to financial institutions, regulators, and the wider business community: progress is accelerated when competitors also collaborate in areas that serve the broader good.

With both banks actively engaged in financing development, expanding access to credit, and accelerating digital innovation, such dialogues create an enabling environment for long-term economic resilience.


STAY INFORMED WITH KITOMARI BANKING & FINANCE BLOG

If you’re passionate about Tanzania’s banking sector, economic trends, and the movers and shakers behind major financial decisions, don’t miss a single update!

👉 FOLLOW KITOMARI BANKING & FINANCE BLOG for the latest news, in-depth features, and expert insights on banking, business, and investment in Tanzania and beyond.

Join thousands of readers who trust us for reliable, well-researched financial content.



Monday, 28 July 2025

CRDB BANK FOUNDATION SUPPORTS LAUNCH OF NATIONAL PLATFORM TO EMPOWER YOUNG ENTREPRENEURS

CRDB Bank Foundation Managing Director, Tully Esther Mwambapa speaks at the launch of the National Enterprise Development Chamber in Dar es Salaam.

DAR ES SALAAM: The CRDB Bank Foundation has reaffirmed its commitment to empowering young entrepreneurs by supporting the launch of a new national platform aimed at linking youth-led startups with key players in the business ecosystem.

The Foundation sponsored the launch of the National Enterprise Development Chamber (NEDC), a non-governmental organisation designed to connect innovative startups—particularly those led by young people—with entrepreneurs, investors, and public institutions. The initiative seeks to foster partnerships that enhance the business and investment environment in Tanzania.

The launch event drew praise from the Minister of State in the Prime Minister’s Office (Labour, Youth, Employment and Persons with Disabilities), Hon. Ridhiwani Kikwete, who commended CRDB Bank Foundation for its continued efforts in promoting youth entrepreneurship and financial literacy through the Imbeju Programme.

“The CRDB Bank Foundation is doing an exceptional job in uplifting young people through its Imbeju Programme. The entrepreneurship and financial education you provide are invaluable. Your commitment to supporting the NEDC is also commendable and will help integrate more youths into formal financial services,” said Minister Kikwete.

According to Tully Esther Mwambapa, Managing Director of the CRDB Bank Foundation, the organisation collaborates with stakeholders to improve the lives of economically and financially marginalised communities. This is done through the provision of entrepreneurship training, financial education, and startup capital to eligible entrepreneurs.

“By promoting entrepreneurship and innovation, we are driving the growth of youth-led startups and innovations. We empower young people and women through training in financial literacy, business management, record-keeping, and resource mobilisation. We also support innovation through programmes that nurture and grow early-stage businesses,” Mwambapa stated.

NGORONGORO CRATER RANKED AMONG TOP TOURIST ATTRACTIONS IN AFRICA FOR 2025

ARUSHA: The Ngorongoro Crater, one of Tanzania’s most iconic natural wonders, has earned a spot among the top tourist attractions in Africa for 2025, according to the prestigious Tripadvisor Travellers’ Choice – Best of the BestAwards.

The Crater ranked sixth on the list of Africa’s leading attractions, placing it within the top one percent of destinations globally, based on authentic traveller reviews.

The accolade reflects the unmatched appeal of the Ngorongoro Conservation Area and its ability to deliver memorable experiences to visitors from around the world.

Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) Conservation Commissioner, Abdul-Razaq Badru, expressed pride in the recognition over the weekend, describing it as a milestone that underscores both Tanzania’s tourism potential and its commitment to responsible conservation.

“This is a great honour for Ngorongoro to be listed among the most loved destinations in the world,” Mr. Badru said in a statement. “It demonstrates that Ngorongoro remains one of Africa’s top tourism sites and continues to capture the hearts of travellers.
This recognition highlights the strength of community engagement and the authentic connection travellers feel with Ngorongoro.”

NMB YAMWAGA MAMILIONI KWENYE MAONYESHO YA KITAIFA YA NANE NANE

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Benki ya NMB imekabidhi kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi—maarufu kama Nane Nane—yanayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu jijini Dodoma.

Fedha hizo ni sehemu ya mchango wa zaidi ya Shilingi milioni 470 ambao NMB imekuwa ikitoa kwa maonyesho hayo kwa kipindi cha miaka saba mfululizo, ikiwa ni uthibitisho wa dhamira ya benki hiyo katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini.

Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano, Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Bi. Janeth Shango, alisema benki hiyo itaendelea kufadhili shughuli mbalimbali za kuimarisha kilimo na ufugaji kwa lengo la kuongeza tija na kuinua uchumi wa wakulima, wafugaji na wavuvi.

“Hii siyo mara ya kwanza kushirikiana na sekta ya kilimo. Kupitia NMB Foundation, tayari tumeshawafikia zaidi ya vyama vya ushirika na AMCOS 1,500, vinavyoshughulika na mazao kama kahawa, ufuta, tumbaku na korosho,” alisema Shango.

NMB DEEPENS PURPOSE-DRIVEN SUPPORT FOR SUSTAINABLE AGRICULTURE WITH NANE NANE SPONSORSHIP

Dodoma — In a renewed demonstration of its people-first and sustainability-focused mission, NMB Bank Plc has presented TSh 100 million to the Ministry of Agriculture to support this year’s Nane Nane International Agricultural Exhibition, set to take place in August in Dodoma. This latest contribution brings the Bank’s total support for the fair to over TSh 470 million over the past seven years—reaffirming NMB’s long-term commitment to uplifting Tanzania’s farmers, livestock keepers, and fishers.

A Lifeline for Farmers

During the symbolic cheque handover, Janeth Shango, NMB Central Zone Manager, emphasized that the funds are intended to create direct, life-changing impact:

“This is not our first partnership with the agricultural community, and it will not be the last,” Shango said. “Our support goes straight to the Ministry so it can reach farmers on the ground and raise their economic prospects. Through the NMB Foundation, we’ve already reached more than 1,300 AMCOS and cooperatives across coffee, sesame, tobacco, and cashew. Today’s TSh 100 million ensures Nane Nane remains a platform where producers gain knowledge, access to markets, and confidence.”

She added that financial empowerment of farmers is central to national prosperity:

“When rural households thrive, Tanzania thrives. We are committed to guiding farmers from subsistence practices toward productive, sustainable agribusiness.”

Guiding Farmers Toward Resilience

Nsolo Mlozi, Head of Agri-Business at NMB, highlighted the bank’s hands-on approach to driving sustainable transformation within agricultural value chains:

“At NMB, we design our calendar around farming seasons—because we know our customers live by those seasons,” he explained. “Our goal is to help farmers transition from rain-fed routines to irrigation, from isolated plots to connected markets. We also encourage crop insurance so their hard work is protected.”

ABSA AND WORLD VISION HAND OVER SOLAR-POWERED WATER PROJECT TO KWEDIZINGA VILLAGE IN TANGA

Handeni District Commissioner Hon. Salum Nyamwese cuts the ribbon, symbolizing the official handover of a solar-powered water well and distribution network project benefiting 3,800 residents of Kwedizinga Village in Handeni District. The project was funded by Absa Bank Tanzania. The ceremony took place within the village premises in Handeni, Tanga Region. Fourth from right is Mr. Aron Luhanga, Head of Marketing and Corporate Relations at Absa Bank Tanzania.

Handeni, Tanga – Absa Bank Tanzania, in collaboration with World Vision Tanzania, has officially handed over a solar-powered water well project and water distribution network to the residents of Kwedizinga Village in Handeni District.

The handover ceremony, held at the well site, marked the completion of a project sponsored by Absa Bank Tanzania at a cost of TZS 50 million. The event was attended by leaders from RUWASA, the village government, and other stakeholders. The guest of honour was Tanga Regional Commissioner Hon. Dr. Batilda Burian, who was represented by Handeni District Commissioner Hon. Salum Nyamwese.

A Story of Hope, Humanity, and Opportunity

Speaking at the event, Mr. Aron Luhanga, Head of Marketing and Corporate Relations at Absa Bank Tanzania, emphasized the deeper meaning behind the project:

“This is not just an infrastructure project; it’s a story of hope, humanity, and opportunity. For a long time, access to safe water has been a barrier to the future of Kwedizinga’s children. Today, we are fulfilling our mission: Empowering Africa’s tomorrow, together… one story at a time. We are proud to be a force for good in this community, because to us, every Tanzanian’s story matters.”

Mr. Luhanga noted that the project, initiated just a few months ago, now enables more than 3,800 residents from seven hamlets to access clean, safe water. Previously, the community relied on seasonal ponds that would dry up during the dry season, forcing women and children to walk over two kilometers daily in search of water—often unsafe for consumption.

“This well, with a depth of 180 meters, uses a solar-powered pump and stores water in a 50,000-litre elevated tank, supplying it through a gravity-fed system. The distribution network includes pipelines and 10 water collection points spread across the village,” he added.

Creating a Safe and Healthy Environment for Children

On his part, Mr. James Anditi, Director of World Vision Tanzania, highlighted the project's alignment with their child-centered mission:

“Our core desire at World Vision Tanzania is to see every child flourish and live a life filled with hope and opportunity. Clean water is not just a basic necessity—it is the foundation of child protection, health, education, and economic resilience. This project, part of our Water, Sanitation and Hygiene (WASH) strategy, reflects that vision by creating a safe and healthy environment where children can thrive.”

STANDARD CHARTERED HOSTS EMPLOYEE VOLUNTEERING SESSION TO EMPOWER YOUNG ENTREPRENEURS

Herman Kasekende, CEO and Head of Banking & Coverage at Standard Chartered Bank Tanzania speaks during the event.

Dar es Salaam, 25 July 2025 – Standard Chartered Bank Tanzania hosted a successful Employee Volunteering Session with beneficiaries of its flagship RISE/E program, reaffirming the Bank’s commitment to driving inclusive economic growth through sustainable entrepreneurship.

The session brought together employee volunteers from various departments across the Bank and young entrepreneurs participating in the RISE/E (Ready for Inclusive Sustainable Employment and Entrepreneurship) program. The event focused on equipping participants—particularly youth-led MSMEs—with essential knowledge to help them navigate legal, financial, and compliance challenges within the local business environment.

Speaking during the event, Herman Kasekende, CEO and Head of Banking & Coverage at Standard Chartered Bank Tanzania, emphasized the Bank’s long-term vision for the program and the communities it serves:

“This is more than a one-day event. It’s a stepping stone — and our hope is that the program, along with this session, helps you think differently, dream bigger, be bolder, and take your business further.”

Launched in 2024 with an investment of TZS 2.2 billion, the RISE/E program aims to improve employment prospects for young people with disabilities and support youth-led microbusinesses, including those run by individuals both with and without disabilities. The RISE/E initiative is part of Futuremakers by Standard Chartered, the Bank’s global program focused on empowering the next generation to learn, earn, and grow.

DTB COMMITS TZS 250 MILLION TO THE AGA KHAN EDUCATION SERVICE, TANZANIA SCHOLARSHIP FUND

DTB CEO Mr. Ravneet Chowdhury (left) officially hands over a TZS 250 million cheque to Dr. Shelina Walli, CEO of AKES, Tanzania, in support of the IB Scholarship Fund.

Diamond Trust Bank Tanzania Plc (DTB) has reinforced its long-standing commitment to youth empowerment and education by donating TZS 250 million to the Aga Khan Education Service (AKES), Tanzania. The generous contribution will fund scholarships for talented Tanzanian students to pursue the International Baccalaureate (IB) Diploma Programme (DP)—a globally recognised curriculum that encourages critical thinking, ethical leadership, and academic excellence.

Empowering the Next Generation Through Education

The donation was officially announced during a handover ceremony held at DTB’s headquarters in Masaki, Dar es Salaam. The event was attended by DTB CEO Mr. Ravneet ChowdhuryAKES Tanzania CEO Dr. Shelina Walli, and Mr. Ally Mussa, an Education Officer representing the Dar es Salaam City Council.

Over the next five years, the scholarship fund will enable academically gifted students—particularly those from underserved and disadvantaged communities—to access a world-class education through the IB Diploma Programme at AKES Tanzania’s secondary school.

A Partnership Built on Shared Vision

This scholarship initiative aligns with a recently renewed Memorandum of Understanding (MoU) between the Aga Khan Development Network (AKDN) and the International Baccalaureate (IB). The Aga Khan Schools—an agency of AKDN and the parent of AKES, Tanzania—have a deep-rooted relationship with the IB, championing inclusive, high-quality education across the Global South.

The renewed MoU is designed to strengthen access to impactful education, foster collaborative research, and ensure the IB curriculum remains responsive to learners’ local contexts and evolving needs.

Blending Global Standards with Local Relevance

At AKES Tanzania, the IB curriculum is customised to meet the unique needs of its students, ensuring a values-driven and globally competitive education that remains grounded in local realities. Learning is extended beyond the classroom through hands-on, community-based projects, including:

  • Plastic bottle recycling campaigns
  • Composting of organic waste
  • Visits to cultural heritage sites such as the Maasai Boma
  • Participation in art exhibitions and performances

Sunday, 27 July 2025

NBC DODOMA MARATHON 2025 YAVUNJA REKODI, ZAIDI YA 12,000 WASHIRIKI, MILIONI 700 ZAKUSANYWA

Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko (wa pili kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh milioni 100 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo (wa tatu kulia). Hundi hiyo ilitolewa na Benki ya NBC kwa ajili ya kuchangia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake, kupitia mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Wanaoshuhudia tukio hilo ni pamoja na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Kabudi (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw. Theobald Sabi (wa pili kulia), Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia), pamoja na viongozi wengine wa serikali na wadau wa mbio hizo.

Dodoma, Julai 27, 2025 – Historia mpya iliandikwa leo katika Jiji la Dodoma baada ya Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko kuwaongoza washiriki zaidi ya 12,000 katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2025, zilizoandaliwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC). Mbio hizo zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri zilikusanya zaidi ya shilingi milioni 700 kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto nchini.

Katika tukio hilo lililovutia washiriki kutoka ndani na nje ya nchi – wakiwemo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda – mbio hizo zilijumuisha mashindano ya kilomita 5, 10, 21 na 42 huku viongozi mbalimbali wa kitaifa wakishiriki kwa karibu.

Dkt. Biteko: Mazoezi Sio Hiyari, Ni Hitaji la Lazima

Akizungumza kwenye hafla ya utoaji zawadi, Dkt. Biteko alipongeza NBC kwa kuongeza hamasa ya ushiriki kutoka washiriki 1,500 mwaka 2020 hadi 12,000 mwaka huu. Alisema mafanikio haya yanadhihirisha mwamko wa Watanzania kuhusu umuhimu wa mazoezi, hasa katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kama shinikizo la damu, kisukari na magonjwa ya moyo.

“Takwimu zinaonyesha asilimia 33 ya Watanzania wanakabiliwa na uzito uliozidi kiwango na asilimia 28 wana shinikizo la damu. Mazoezi si hiyari tena – ni hitaji la lazima kwa afya ya binadamu,” alisema.

Dkt. Biteko pia aliuomba uongozi wa Mkoa wa Dodoma kutangaza rasmi NBC Dodoma Marathon kuwa kivutio cha utalii na kichocheo cha uchumi kwa mkoa huo.

Prof. Kabudi: NBC Dodoma Marathon Ni Kiwango cha Kimataifa

Naye Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Kabudi, aliisifu NBC kwa uwekezaji wake katika sekta ya michezo. Alisema ukubwa wa mashindano haya unapaswa kutumika kama jukwaa la kuibua vipaji vya kushiriki katika mashindano ya Olympics na Jumuiya ya Madola.

NBC Yaelekeza Milioni 400 kwa Miradi ya Kijamii

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Theobald Sabi, alieleza kuwa kati ya fedha zilizokusanywa:

  • Tsh Milioni 400 zitaelekezwa kufanikisha malengo ya mbio hizo ikiwa ni pamoja na:
  • Mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi
  • Ufadhili wa wakunga 200 nchini
  • Masomo kwa wauguzi 100 wanaowahudumia watoto wenye changamoto za usonji (autism)

      Friday, 25 July 2025

      NBC YATOA PIKIPIKI 10 DODOMA KUHAKIKISHA USALAMA KABLA YA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON

      Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Jabir Shekimweri (aliyevaa kofia ya kuendeshea pikipiki), akijaribu ubora wa moja ya pikipiki 10 zilizotolewa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za mkoa huo katika kuboresha masuala ya usalama na kukabiliana na uhalifu, hususan kipindi hiki kuelekea mbio za NBC Dodoma Marathon zinazotarajiwa kufanyika Julai 27, mwaka huu, jijini humo. Wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa benki ya NBC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa na Serikali, Bw. Elvis Ndunguru (katikati, aliyevaa suti).
      Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Jabir Shekimweri (kushoto), akikabidhi kofia ya kuendeshea pikipiki kwa ACP Daniel Bendarugaho, aliyemwakilisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (RPC), ACP Galus Hyera, ikiwa ni ishara ya kukabidhi kwa Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma pikipiki 10 zilizotolewa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ili kuunga mkono jitihada za mkoa huo katika kuboresha masuala ya usalama na kukabiliana na uhalifu, hususan kuelekea mbio za NBC Dodoma Marathon zinazotarajiwa kufanyika Julai 27, mwaka huu, jijini humo.

      Dodoma, Julai 24, 2025 — Ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya NBC Dodoma Marathon 2025 itakayofanyika Julai 27, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi msaada wa pikipiki 10 zenye thamani ya shilingi milioni 28 kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ili kuimarisha ulinzi na usalama jijini humo.

      Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa, yakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Jabir Shekimweri, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Bi. Rosemary Senyamule. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na wawakilishi kutoka Jeshi la Polisi pamoja na maafisa wa NBC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa na Serikali wa benki hiyo, Bw. Elvis Ndunguru.

      Msaada kwa Ajili ya Maendeleo ya Jamii

      Mbali na pikipiki hizo, NBC pia imekabidhi jezi na vifaa mbalimbali vitakavyotumiwa na washiriki wa mbio hizo, kama ishara ya kuthamini ushirikiano kutoka kwa viongozi wa mkoa. Mbio hizo mwaka huu zinalenga zaidi kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi, kupanua ufadhili wa wakunga kutoka 100 hadi 200, na kuanzisha mpango mpya wa kusaidia masomo ya wauguzi 100 kwa ajili ya watoto wenye changamoto za usonji (autism).

      Bw. Shekimweri alisema, “Tunawashukuru sana NBC kwa muitikio huu, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ambapo tunahitaji doria zaidi. Pikipiki hizi zitatusaidia sana katika kuimarisha usalama wa jiji na wa mbio hizi zenye umuhimu mkubwa kijamii.”

      Washiriki Wafikia 12,000 — Uchumi wa Dodoma Wanufaika

      Kwa mujibu wa Shekimweri, mwaka huu washiriki wa mbio hizo wameongezeka hadi kufikia 12,000 kutoka 8,000 mwaka uliopita. “Hii ni hatua ya kupongezwa. Mbio hizi si tu zinachochea afya, bali pia zinachangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa sekta ya utalii na huduma za malazi jijini Dodoma,” aliongeza.

      Thursday, 24 July 2025

      STANBIC HOSTS HISTORIC FORUM TO MOBILIZE DOMESTIC CAPITAL FOR EAST AFRICAN INFRASTRUCTURE INVESTMENT

      Arusha, Tanzania – Wednesday, 23 July 2025 – Institutional investors and policymakers from across East Africa convened in Arusha this week for the East Africa Institutional Investors Forum, a high-level event aimed at unlocking domestic capital to drive infrastructure development across the region.

      The two-day forum, held from July 22 to 23, brought together pension funds, development finance institutions, regulators, and policymakers from Tanzania, Kenya, and Uganda. Organized jointly by Stanbic Bank Tanzania, Stanbic Bank Kenya, and Stanbic Bank Uganda, the forum focused on transitioning domestic capital from passive reserves into active investments in key sectors such as infrastructure, energy, housing, and digital connectivity.

      “This is not just another expert gathering,” said Benedict Nkini, Vice President – Financial Institutions at Stanbic Bank Tanzania. “It’s a platform for connecting capital with viable projects. For over 30 years in Tanzania, we’ve partnered across sectors to enable impactful investments. Now, we’re expanding these efforts regionally because East Africa’s challenges require regional solutions and regional capital.”

      A Regional Push for Local Financing

      The event comes at a time of growing concern over East Africa’s heavy reliance on external funding for infrastructure, despite holding billions in long-term local savings and pension capital. Experts argue that the issue is not a lack of funds, but a shortage of bankable projectscross-border investment alignment, and robust policy frameworks.

      Aboubakar Massinda, Senior Vice President – Energy & Infrastructure at Stanbic Bank Tanzania, emphasized the region’s capacity to finance its own growth.

      “East Africa has enough domestic capital to fund its development,” said Massinda. “What’s needed is trust, harmonized regulation, and a pipeline of investable projects. Kenya brings strong project preparation, Uganda brings bold policymaking, and Tanzania contributes scale and stability. Together, this is a compelling opportunity for investors.”

      STANBIC YAANDAA JUKWAA LA KIHISTORIA KUCHOCHEA UWEKEZAJI WA MITAJI YA NDANI AFRIKA MASHARIKI

      Arusha, Tanzania – 23 Julai 2025: Benki ya Stanbic imeandaa jukwaa la aina yake jijini Arusha linalolenga kuhamasisha matumizi ya mitaji ya ndani kwa ajili ya uwekezaji wa miundombinu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Tukio hilo la siku mbili limewakutanisha wawekezaji wa taasisi, watunga sera, wasimamizi wa sekta, na taasisi za fedha kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.

      Kwa kushirikiana na Stanbic Bank Kenya na Uganda, jukwaa hili limeweka mkazo kwenye kubadilisha mitaji ya akiba ya muda mrefu kuwa kichocheo cha ukuaji wa uchumi halisi kupitia uwekezaji kwenye sekta muhimu kama miundombinu, nishati, makazi na miunganisho ya kidijitali.

      “Lengo letu si mijadala ya kitaaluma tu, bali kuunganisha mitaji moja kwa moja na miradi,” alisema Benedict Nkini, Makamu wa Rais, Taasisi za Fedha – Stanbic Bank Tanzania.

      “Changamoto za kikanda zinahitaji suluhisho la kikanda na mitaji ya kikanda. Tunapanua juhudi zetu kuvuka mipaka ili kuleta matokeo ya kweli.”

      Mazingira ya Miradi na Ushirikiano wa Kikanda

      Jukwaa limekuja wakati ambapo nchi za Afrika Mashariki, licha ya kuwa na mabilioni ya fedha katika mifuko ya pensheni, bado zinategemea mitaji ya nje kwa ajili ya miundombinu. Wachambuzi wanasema tatizo siyo ukosefu wa fedha, bali ni ukosefu wa miradi inayotekelezeka, urasimu, tofauti za kisera na mazingira dhaifu ya uwekezaji.

      Kwa mujibu wa Aboubakar Massinda, Makamu wa Rais Mwandamizi – Nishati na Miundombinu wa Stanbic Bank Tanzania:

      “Kenya inaleta uzoefu wa maandalizi ya miradi, Uganda uthubutu wa sera, na Tanzania inaleta ukubwa wa soko na utulivu. Hii ni mchanganyiko wa kuvutia kwa wawekezaji wa ndani na wa kimataifa.”

      BENKI YA EQUITY YASHIRIKIANA NA SERIKALI KUINUA SEKTA YA MIFUGO NA NGOZI TANZANIA

      Dodoma – 24 Julai 2025: Katika hatua ya kuendeleza sekta ya mifugo nchini Tanzania, Benki ya Equity kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanzisha mpango maalum wa kuimarisha thamani ya mazao ya mifugo, kupanua masoko, na kuinua maisha ya wafugaji wa ndani.

      Akizungumza katika kikao cha wadau wa sekta ya mifugoNaibu Katibu Mkuu wa WizaraDk. Edwin Mhede, alieleza kuwa serikali imeitaka Benki ya Equity kuunda timu maalum ya kitaalamu kwa ajili ya kusimamia uwekezaji katika sekta hiyo.

      “Hatua hii inalenga kuboresha mifumo ya uzalishaji wa ngozi, kuongeza ubora na kuifanya sekta hii kuwa chanzo kikuu cha mapato kwa wafugaji,” alisema Dk. Mhede.

      Aliongeza kuwa serikali tayari inatekeleza kampeni ya chanjo ya mifugo kote nchini, ambapo zaidi ya mifugo milioni 16 tayari imechanjwa, na zoezi linatarajiwa kukamilika Oktoba 2025. Hili linaweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa mazao ya mifugo yenye ubora wa kimataifa.

      Mpango wa Equity: Kuinua Wafugaji kwa Uwekezaji wa Kina

      Kwa upande wake, Dk. James Mwangi, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Group Holdings, alisema mpango huu unaendana na dira ya benki ya kukuza sekta muhimu za kiuchumi barani Afrika.

      “Tunataka wafugaji wafaidike si tu kwa kuuza mifugo au ngozi ghafi, bali kwa kushiriki kikamilifu kwenye minyororo ya thamani. Equity ipo tayari kuwekeza katika teknolojia na ufadhili wa mabadiliko ya kweli kwenye sekta hii,” alisema Dk. Mwangi.

       

      Isabela Maganga, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Tanzania, alisisitiza kuwa benki imejipanga kuwekeza moja kwa moja kwenye sekta ya Mifugo na Ngozi kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine.

      “Tunaandaa mikakati ya kifedha na kiufundi kwa ajili ya kuwasaidia wafugaji kupata mikopo nafuu, kushiriki katika usindikaji na kufikia masoko ya ndani na nje,” alisema Bi. Maganga.

      Sekta Yenye Fursa Kubwa za Kiuchumi

      Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya EquityBw. Florens Turuka, alieleza kuwa sekta ya mifugo na ngozi inatoa fursa kubwa za kiuchumi, na kuwasihi wafugaji kushirikiana na benki kupata mikopo na msaada wa kitaalamu.

      Takwimu zinaonyesha Tanzania kuwa na:

      • Ng’ombe milioni 34
      • Mbuzi milioni 24.5
      • Kondoo milioni 8.5

      AfDB APPROVES $50 MILLION TRADE FINANCE GUARANTEE TO BOOST CRDB BANK’S SUPPORT FOR SMES AND INTRA-AFRICAN TRADE

      Abidjan, Côte d'Ivoire – July 22, 2025: In a strategic move to enhance trade finance access in Tanzania and promote regional trade under the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), the Board of Directors of the African Development Bank Group (AfDB) has approved a $50 million Trade Finance Transaction Guarantee facility in support of CRDB Bank Plc.

      This facility is designed to provide up to 100% guarantee to confirming banks against the risk of non-payment from Letters of Credit and similar trade finance instruments issued by CRDB Bank. The arrangement aims to unlock critical trade financing, especially for Small and Medium Enterprises (SMEs) and local corporates—key players in Tanzania’s economic development.

      "Trade finance is essential for Africa's economic development, facilitating both domestic and international trade, boosting economic growth and promoting regional integration," said Lamin Drammeh, Head of Trade Finance at AfDB.

      “We are delighted to work with CRDB Bank Plc, a strong partner with extensive knowledge and reach in Tanzania, to support a shared ambition of advancing trade in the region.”

      The guarantee facility is expected to ease import trade activities and empower Tanzanian SMEs and corporates to actively participate in regional and global supply chains. Moreover, it supports the AfCFTA vision of creating a seamless, integrated African market by removing longstanding trade barriers.

      CRDB BANK WELCOMES STRATEGIC PARTNERSHIP

      Speaking after the approval, Abdulmajid Mussa Nsekela, Group CEO and Managing Director of CRDB Bank Plc, expressed gratitude to the African Development Bank for the trust and partnership.

      “This strategic partnership enhances our capacity to support the trade finance needs of the SME and corporate sectors, which are the backbone of our economy and pivotal in driving inclusive and sustainable growth,” Nsekela said.

      He further emphasized the impact on industrialization and job creation, noting that this facility will strengthen CRDB’s ability to foster regional integration and empower businesses that are often underserved in traditional financing models.

      “SMEs and corporates are the drivers of industrialization, job creation, and regional integration. This facility removes barriers and helps them actively participate in intra-African and global trade,” he added.