Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 19 January 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI KATIKA UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNICC) JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 19, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia alipokutana na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam. Januari 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Austin Mahiga. Wengine ni Dkt. Suzan Kolimba (wakwanza kushoto), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kutoka kushoto) wakati wa mazungumzo na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Kimataifa Wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam. Januari 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Selestine Mushi alipokutana na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam. Januari 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga alipokutana na kufanya mazungumzo na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam. Januari 19, 2018. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment