Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 12 October 2016

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA KAMPENI YA KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI BILA FOLENI NA USUMBUFU INAYOITWA JIULIZE KWANINI (ASK YOURSELF WHY)

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, Christine Manyenye (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Barry Chale (kulia) wakizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) kuhusiana na kampeni ya JIULIZE KWANINI.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, Christine Manyenye (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) kuhusiana na kampeni ya JIULIZE KWANINI. Pamoja nae ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Barry Chale (Katikati) na Mkuu wa uendeshaji na teknohama Rojas Mdoe (kulia).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Barry Chale (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) kuhusiana na kampeni ya JIULIZE KWANINI. Pamoja nae ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, Christine Manyenye (Katikati) na Mkuu wa rasilimali watu Joyce Wiki Mwashigadi.

No comments:

Post a Comment